Habari gani ndugu zangu Wajapani, Wachina Wacongo na Walimwengu kwa ujumla, Mimi naitwa Msama Kosani kutoka Tanzania, nina mpango wa kuanzisha shule ya sekondari ili kutoa nafasi zaidi kwa watoto wanaomaliza shule ya msingi wapate kuendelea na elimu ya sekondari na hatimaye elimu ya juu zaidi. Ninaomba mniunge mkono katika juhudi hizi za kupambana na umasikini, Asanteni sana
ANNOUNCEMENT
Hello dear Japanese, Chinese, Congolese and the rest of the world, My name is Msama Kosani from Tanzania (east Africa), i have a dream to establish an education center in Manyara Region the place where i'm working and living. I am intending to begin with a secondary school in order to create chances/oportunity for Children who finish their primary school level and finds no where to proceed to higher levels due to many reasons including very limited chances and the school enrollement/fees costs which seems to be almost unbearable for many local people. I am therefore asking for any body to join hand with me in trying to make my dream come true.